Category : Projects
MwanaFA is one of Tanzania’s bightest bongo flava artists with a string of hits under his belt. His popularity is due, largely to his mastery and ability to mould the Swahili language into a poetic and entertaining flow. His recent Singles Hits like Yalaiti , Unanijua Unanisikia , Dakika Moja with AY, another very popular artist (in the region) Visit His FaceBook fan Page and Twitter Page All this pages i am the one who makes look good, I Create for him and trying to push, Upload Music, background for twitter fan page and other Stuff.
This entry was posted on Thursday, May 10th, 2012 at 5:24 pm
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0 feed.
Mkasi ni show ya kipekee kabisa ambayo haijawahi kutoka katika historia ya TV hapa Tanzania. Sote tunafahamu kama salon ni sehemu ambayo watu wa aina tofauti wanaenda kwa ajili ya kutengeneza nywele, kunyoa, kutengeneza kucha na mambo mengine na wengine huenda kwa ajili ya mazungumzo tu na kufanya sehemu hiyo kama maskani, sehemu ya kuzungumza kwa uhuru na kuzungumza juu ya lolote.
Salama Jabir yeye ni jobless na hapo salon ambayo ni sehemu inayokuja wanawake na wanaume yeye ndo maskani yake, Muba na John ni rafiki zake Salama.
Kwa domo lake Salama anapata nafasi ya kuwadadisi wateja ambao wanafika hapo salon kwa ajili ya kupata huduma hizo.
Haijalishi wewe ni nani, Una cheo gani, unafanya kazi gani lakini kuna siku lazima uende ukatengeze nywele zako. Na hapo ndipo show huanza na hivyo basi utazungumza na Salama, John Na Muba.
Ni show ya nusu saa ambayo inaonyeshwa kila JUMATATU kupitia East Africa TV.
Michael Alipata Wasaha wa kutengeneza website ya Mkasi ( www.mkasi.tv ) | Twitter Ya @MkasiTV na Youtube ya Mkasi pia
This entry was posted on Tuesday, April 24th, 2012 at 9:18 pm
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0 feed.

